Skip to main content
BREAKING: Mtandao wa Whatsapp umepotea hewani dunia nzima
Inawezekana wewe ukawa ni mmoja kati ya watu ambao
wameshangazwa na kuona simu zao usiku huu ukituma ujumbe wa Whatsapp
hauendi na kuanza kujiuliza kama shinda ni salio, simu au tatizo la
kiufundi.
Taarifa ikufikie kuwa tatizo hilo limetokea na kwa mujibu wa msemaji wa mtandao huyo”
baadhi ya watu wamepata tatizo la kushindwa kupata huduma ya whatsapp
kwa leo, tunaomba radhi kwa usumbufu na tunashughulikia kuhakikisha
huduma hiyo inarejea mapema”
SOURCE: express.co.uk
Comments
Post a Comment