VideoMPYA: Man Fongo “Lau Nafasi”

January 13, 2018 video mpya kutoka kwa mkali wa Kisingeli Man Fongo ambaye ameamua kuuanza mwaka 2018 kwa kuachia video ya “Lau Nafasi” ili kuendelea kuusogeza mwaka 2018 fanya kubonyeza PLAY hapa chini na uniandikie comment yako Man Fongo atapita kuisoma.

Comments